ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 108
Mtanisamehe, nimepiga picha kamera yangu imedondoka kwa maji, picha zote damaged! Ila nyumba ni vyumba vitatu, kimoja self contained, sebule, dinning, jiko na servant quarter! Iko mitaa ya nyuma ya Kanisa katoliki na iko barabarani, yafaa kwa makazi, kupangisha, lodge/guest house n.k ukiamua kufanya extention and remodelling. Plot size ni 464sqm, karibu viwanja viwili vya Sinza Nyumba haijatumika kitambo na hivyo yahitaji simple soft touches to make it habitable. Kama vipi nipigie nikuelekeze ukaione, An opportunity for home seekers and investors.
Akupigie wapi mkuu, weka tangazo likamilike usipoteza pesa kwa uzembe mdogo mdogo kama huo.
Ngoja watu wa EPA na KAGODA watakupigia ama hata hao wanaokamatwa kwa madawa ya kulevya kila siku kwenye viwanja vya ndege.Sisi kwa milioni hizo 100 tunanunua uwanja tunajenga na tunanunua na gari kama ya milion 15 na bado chenji ya kuwekea mafuta inabaki
You are such a gentleman for sure I salute you. Kama anagekuwa mwingine angetukana then mwishoni akasema kama huna hela ni wewe wengine wanazo. Thanks for your advice na nashukuru sana kwa kunifungua otherwise I was still in limboSi kila anayenunua nyumba ni mtu wa EPA au Kagoda bornagain, ama yuko kwenye madawa mkuu! Tuna Mortgage Financing Act, 2008 inaruhusu watu kukopa na kulipa ndani ya miaka 15 hadi ishirini! Hivyo si lazima uwe na cash ila kama unakopesheka waweza nunua nyumba! Usikate tamaa mkuu, bado wawezaipata hiyo pesa kwani kuna wafanyabiashara wengi tu still wana uwezo wa ku-rise more times ya hiyo milioni mia!
kama vile hazifanani na ile ya kwenye signature!!!Nina namba yangu kwa Signature mkuu, hata hivyo ni 0715/0754 858 245
kama vile hazifanani na ile ya kwenye signature!!!
You are such a gentleman for sure I salute you. Kama anagekuwa mwingine angetukana then mwishoni akasema kama huna hela ni wewe wengine wanazo. Thanks for your advice na nashukuru sana kwa kunifungua otherwise I was still in limbo
Ukiamua kufanya extension na remodelling vyumba vitapatikana vya guest? Kule hakuna maji sijui guest itakuwaje? Halafu sijajua eneo lile kama kweli lina maji ya kisima salama kama si chumvi ya kuua mtu!! Anyway, waambie wafikirie hasa suala la huduma muhimu kama maji ndipo wapange bei upya!!! Au labda ni matajiri wanauza maana matajiri wao wanazungumzia hela ndefu tu!! Au labda muuzaji ni mchaga maana wao kila kitu ni bei kali tu!! Ila mkuu bei kali hiyo. Niko interested nikishaona picha nitakutafuta tukaione!Mtanisamehe, nimepiga picha kamera yangu imedondoka kwa maji, picha zote damaged! Ila nyumba ni vyumba vitatu, kimoja self contained, sebule, dinning, jiko na servant quarter! Iko mitaa ya nyuma ya Kanisa katoliki na iko barabarani, yafaa kwa makazi, kupangisha, lodge/guest house n.k ukiamua kufanya extention and remodelling. Plot size ni 464sqm, karibu viwanja viwili vya Sinza Nyumba haijatumika kitambo na hivyo yahitaji simple soft touches to make it habitable. Kama vipi nipigie ( 0715/0754 858 245) ukaione, An opportunity for home seekers and investors.
Kwanza bei haiko fixed, ni negotiable! Pili nyumba iko title deed na tenure yake ni ya miaka 99 as from 2010, ni barabarani nyuma ya kanisa la makuburi na hivyo inafikika kwa gari kwani ni pembeni ya barabara. Model ya zamani ni ipi na ya kisasa ni ipi? Kuna watu wanapenda colonial type! Ni kweli mil100 unajenga lakini decision ya kujenga na kununua ni tofauti! There are a lot of factors involved kwenye kujenga, Wrong permits, land ownership, legal issues, material cost (hapo bado fundi Lyatuu hajakupiga), frequent site visit and management (hadi kufuatilia trip za maji),utility issues (maji na umeme), and so forth can impact the length of time it takes to complete a construction, and this can increase the cost. Kuna issue ya cash flow problem, ila pia usisahu time involved! Mara nyingi watu wanaangalia gharama za ujenzi in terms of brick n mortar, but a lot of things involved! Why not buying a ready made home then modify it at your taste and preferences????Dah, External nyumba ya vyumba vitatu milion 100? Halafu ni high density (sq464)? Tafuta kamera piga picha weka hapa halafu wateja watapima!! Weka sifa za nyumba na kiwanja, kina hati? panafikika kwa gari? Ni model ya zamani au kisasa kwa maana 100m mtu unajenga nyumba ya kisasa kwa room hizo chache tena sehemu ya huduma muhimu maana najua external hakuna maji? Kwa sababu hiyo huyu mama/baba muuzaji ni lazima afikirie sana bei?
Ukiamua kufanya extension na remodelling vyumba vitapatikana vya guest? Kule hakuna maji sijui guest itakuwaje? Halafu sijajua eneo lile kama kweli lina maji ya kisima salama kama si chumvi ya kuua mtu!! Anyway, waambie wafikirie hasa suala la huduma muhimu kama maji ndipo wapange bei upya!!! Au labda ni matajiri wanauza maana matajiri wao wanazungumzia hela ndefu tu!! Au labda muuzaji ni mchaga maana wao kila kitu ni bei kali tu!! Ila mkuu bei kali hiyo. Niko interested nikishaona picha nitakutafuta tukaione!
Kwanza bei haiko fixed, ni negotiable! Pili nyumba iko title deed na tenure yake ni ya miaka 99 as from 2010, ni barabarani nyuma ya kanisa la makuburi na hivyo inafikika kwa gari kwani ni pembeni ya barabara. Model ya zamani ni ipi na ya kisasa ni ipi? Kuna watu wanapenda colonial type! Ni kweli mil100 unajenga lakini decision ya kujenga na kununua ni tofauti! There are a lot of factors involved kwenye kujenga, Wrong permits, land ownership, legal issues, material cost (hapo bado fundi Lyatuu hajakupiga), frequent site visit and management (hadi kufuatilia trip za maji),utility issues (maji na umeme), and so forth can impact the length of time it takes to complete a construction, and this can increase the cost. Kuna issue ya cash flow problem, ila pia usisahu time involved! Mara nyingi watu wanaangalia gharama za ujenzi in terms of brick n mortar, but a lot of things involved! Why not buying a ready made home then modify it at your taste and preferences????
MAJI YANATOKA mkuu, three times a week! Unahitaji kuweka water reserve tanks too. Ukiamua kufanya extention na remodelling unapata si chini ya vyumba kumi. Ni kweli zamani hakukuwa na maji kule but yanatoka.
Nimekupata mkuu ExpertBroker!!! Sure naona ni mtaalam haswa!! Kweli mambo ya fundi Lyatuu kama umewahi kujenga basi huwa yanakatisha tamaa sana. Is it fenced, inaweza accomodate family cars ngapi?
Kwa jinsi ilivyo inaweza accommodate gari hadi tano maana kwa nyuma kuna space ya parking pia.
Hapo kwa maji kama angalao yanatoka basi safi, simtank zina-serve the purpose. Ulisema kwa muda hajaishi mtu? Kwa nini wakati eneo ni zuri sana maana kanisa nalifahamu si mbali sana? Any clue on this?