Ni dakika 7 kutoka Lami Kuu mpaka kufika kwenye Nyumba
Barabara yake ipo vizuri na inapitika wakati wowote
Maji na Umeme tayari vipo
Miundo mbinu yote ya kijamii ipo nk.
Ukubwa wa Kiwanja : Sqm 600
Umiliki: Ina sales agreement ila pameshapimwa na hati iko hatua za mwishoni
3bedrooms Kimoja ni master.
kitchen kubwa
dinning
sitting room
public toilets.