Nyumba inauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
nyumba inauzwa ipo tabata segerea yenye vyumba vinne kati ya hivo vitatu ni self contained na kimoja ni cha kawaida, pia ina seatting room,kitchen store na public toilet.
ukubwa wa eneo ni squire meta 1000,ni nzuri kwa matumizi ya kuishi
mawasiliano piga 0714358610
 

Attachments

  • SEGEREA3 200.jpg
    47 KB · Views: 547
  • SEGERA6 200M (1).jpg
    49.9 KB · Views: 553
  • SEGEREA 200M.jpg
    50 KB · Views: 477
  • SEGERA6 200M (2).jpg
    42.1 KB · Views: 464
  • SEGEREA5 200M (2).jpg
    61.2 KB · Views: 488

Ipo fresh bei milioni mia ngapi?
 
bei ni milioni 220 mazungumzo yapo
 
bei ni milioni 250 mazungumzo yapo

Mkuu hembu acha utani,,umeongeza 0 au ndo dalali unataka kula mara3 ya mwenye nyumba. Hivi unaijua nyumba ya hiyo bei kweli?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
kwani hii nyumba umeiona????
laiti ungeiona usingekuwa unawasiwasi na hii bei...
 
kwani hii nyumba umeiona????
laiti ungeiona usingekuwa unawasiwasi na hii bei..
 
Hiyo nyumba iko kwenye tindiga alafu unasema mtu angeiona kwani picha sio za nyumba husika
 
Hahaaaa...Tanzania tumefika hukoo? hela imeshuka thamani kias hicho? Milion 250??? Tabata segerea??/
 

Milioni 250 Tabata Segerea jamani, du utahangaika sana kumpata mteja, ingekuwa enzi zile kabla Mwakyembe hajaingilia shughuli za madawa pale uwanja wa ndege fasta ungepata mteja lakini kwa Watanzania wa sasa watafanya calculation za kutosha.Mfano mimi hapa naweza nikawaza fasta fasta hivi Tabata Segerea siwezi kupata uwanja wa squire meta 1000 kwa shilingi milioni 100? Kama jibu ni ndiyo kati ya mil 250 si ntakuwa nimebakiza milioni 150,sasa kwa nini nisijenge nyumba nzuri zaidi ya hiyo iliyoko kwenye picha kwa shilingi milioni 150? Ama hata kama uwanja niununue milion 150 hukohuko Tabata kama napapanda then ikabaki milioni 100 kwa nini nisijenge nyumba ya kiwango nachokitaka of the same size kwa shilingi milioni 100?Anyway kila siku huwa nasema kwa kuwa kizazi chetu ni cha vijana wala chips na wanaotaka mikatomikato hata kama ukiwaambia milioni 300 then waambie watakulipa kwa instalment utawapata tu.Lakini kwa mtu makini anaejua kuanalyse mambo hiyo bei hata kama ingekuwa Mikocheni A sijui B bado sijanunua kwa bei hiyo
 
Mweneye huwezo mdogo wa kufikiri anaweza nunua hii nyumba mwenye hupeo kidogo kwa bei hiyo dahh anaweza jenga nyingine 4 kama hizo kwa milioni 50 tuu.
 
Hivi siku hizi hela umekosea thaman au watu wanaongezaga misifuri tu!? 250m nyumba yenyewe ya chini!?
 
NI macho yangu au??? Kwenye picha hapo juu naona kama zineseviwa zikisema bei ni 200m
 
NI macho yangu au??? Kwenye picha hapo juu naona kama zineseviwa zikisema bei ni 200m

hayo ni macho yako lakini wenye nia na wenye uhitaji wa hiyo nyumba wanapiga simu wewe utaendelea na macho yako hivo hivo
 
Hivi siku hizi hela umekosea thaman au watu wanaongezaga misifuri tu!? 250m nyumba yenyewe ya chini!?

ushakalili nyumba ya juu ndoo inaghalama kubwa
utabaki hivo hivo na maisha yako ya kukalili
 
Mweneye huwezo mdogo wa kufikiri anaweza nunua hii nyumba mwenye hupeo kidogo kwa bei hiyo dahh anaweza jenga nyingine 4 kama hizo kwa milioni 50 tuu.

kama wewe ulivo na upeo mdogo wa kufikiri ukizani utaweza jenga nyumba kama hii kwa milioni 50,
acha wenye pesa zao na wanaojua nini maana ya makazi wanunue wewe endelea kubwabwaja domo lako hivo hivo
 
muuzaji ashaweka bei yake ambayo ni 250, 000, 000/ na kawambia maongezi yapo.....kwa hiyo kama mtu anaitaka ampe offer, wabongo sisi ni walaliaji ndomana kwnye biashara ya kuuziana mtu ananza juu.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…