Nyumba inauzwa

zandar

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Iko majohe rada inauwanja mkubwa tu wakujenga nyingine beiya kutupwa kbsa
 
Iko majohe rada inauwanja mkubwa tu wakujenga nyingine beiya kutupwa kbsa
 
Bei ya kutupwa ndo sh ngapi?
Tuwekee picha mkuu
 
Picha na bei muhimu. Hakuna siri katika bei.
 
Eleza pia kama ni taslimu au mali kauli inakubalika
 
Bei ya kutupwa ndio sh ngapi? Weka picha na maelezo ya kutosha,watanzania b iashara online hatuziwezi.
 
Nielekezeni jinsi ya kuweka pich picha ninazo tatizo jinsi ya kuweka M 18 phn # 0719953094
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…