Nyumba ya vyumba vitatu,sebule ya kupumzikia,sebule ya kulia chakula,jiko,choo,bafu na store inauzwa kimara mwisho - ghorofani,njia ya kwenda bonyokwa,jirani na makaburi. bei ni 35,000,000.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi
0755 198216,0717 640315, 0759 763487, 0755 310028.