A adataro Member Joined Aug 15, 2012 Posts 36 Reaction score 0 Mar 25, 2013 #1 Nyumba nzuri sana inauzwa na ina sifa zifuatazo: Muonekano: Ni nyumba ya ghorofa 5 yenye vyumba 42 Ina vifaa vyote muhimu vinavyohitajika. Sehemu: Manzese Bei: Billion 3 maelewano pia yapo Unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0754479625 Shukrani.
Nyumba nzuri sana inauzwa na ina sifa zifuatazo: Muonekano: Ni nyumba ya ghorofa 5 yenye vyumba 42 Ina vifaa vyote muhimu vinavyohitajika. Sehemu: Manzese Bei: Billion 3 maelewano pia yapo Unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0754479625 Shukrani.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 946 Mar 25, 2013 #2 He! Mbona unakuja nusunusu kana kwamba umekimbia fumanizi? Picha??????????????????????