Inaonekana ni self contained, mkuu Slave hebu tupe bei elekezi maana nimeipenda mahala popote nitaifuata
wewe Wa Nyumbani afu unahitaji nyumba aaaah waachie wenzio banaNaihitaji haraka...iko wapi?
ina kila kitu kinacho hitajika kwa matumizi ya binaadamu,choo ndani kwa ndani.View attachment 80197