Nadhani kila kitu kimeelezwa hapo juu!ipo Bunju-Dar es salaam!iko wapi??////
Nadhani kila kitu kimeelezwa hapo juu!ipo Bunju-Dar es salaam!
weka bei kwanza.....
ilifanywa edit mkuu... angalia time ya swali na time ya edit
ilifanywa edit mkuu... angalia time ya swali na time ya edit
kweli people dont read, ungesoma hizo timing za swali usingecheka. Time is also a very good indicator
kaweka mkuu amesema MILLION 90
heshima kwako mkuu... nimeona profile kwenye link