C. Misonge Member Joined Oct 3, 2007 Posts 60 Reaction score 10 Feb 3, 2012 #1 Ipo maeneo ya Kijitonyama karibu na Chrisco Church, njia ya kwenda kwa Ally Maua, Haijakamilika, imefikia kwenye linta, lengo lilikuwa ni kujenga ghorofa moja. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0655 699 699
Ipo maeneo ya Kijitonyama karibu na Chrisco Church, njia ya kwenda kwa Ally Maua, Haijakamilika, imefikia kwenye linta, lengo lilikuwa ni kujenga ghorofa moja. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0655 699 699
Edmond JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 359 Reaction score 54 Feb 3, 2012 #2 Mzee sema bei yake inaanzia shilingi ngapi?nione kama naweza kukutafuta au nitulizane tu
mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 524 Feb 3, 2012 #3 bei muhimu
K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Feb 3, 2012 #4 Ndo shida ya watz.Hawataji bei wala picha
P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 104 Feb 3, 2012 #5 weka bei na picha pia mukubwa!watu tusiharibu crdt zetu ku call kumbe umewalenga wenye hela ndefu.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,313 Feb 3, 2012 #7 u are not serious ama weye ni dalali kipeo cha 7
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Feb 3, 2012 #8 Masikini_Jeuri said: u are not serious ama weye ni dalali kipeo cha 7 Click to expand... Madalali huwa wanataja bei za kuruka balaa utafikiri walisaidia kuchangia
Masikini_Jeuri said: u are not serious ama weye ni dalali kipeo cha 7 Click to expand... Madalali huwa wanataja bei za kuruka balaa utafikiri walisaidia kuchangia
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,035 Reaction score 9,649 Feb 3, 2012 #9 Hakuna watu wajinga kama madalali wa nchi hii..ingekua serikali sio lege lege wangethibitiwa..mtu una kitu unauza unaandika Tangazo
Hakuna watu wajinga kama madalali wa nchi hii..ingekua serikali sio lege lege wangethibitiwa..mtu una kitu unauza unaandika Tangazo
C. Misonge Member Joined Oct 3, 2007 Posts 60 Reaction score 10 Feb 4, 2012 Thread starter #10 Samahani waungwana kwa kuchelewa kujibu, nauza m350, kama unataka kwenda kuiona nipigie, mimi ndio mwenye nyumba wala msihofu.
Samahani waungwana kwa kuchelewa kujibu, nauza m350, kama unataka kwenda kuiona nipigie, mimi ndio mwenye nyumba wala msihofu.