Nyumba yako sasa kinachokuogopesha keweka bei ni nini!??? Unauza kwa bei za kifisadi?? weka bei hapa ili watu wamwage uwazi wao kuhusu eneo hilo kwa wanaolijua. au unaona raha kupigiwa simu tu hata kama hakuna kitakachofanyika!!

Mimi nashangaa wafanya business wa bongo!mwaga kila kitu!pia ujue namba yako hatuihitaji ukiweka bei anayehitaji atakujibu hapa hapa mtaelewana!kwa nini ufiche fiche bei?au ipo juu sana unaona noma kuisema hadharani?