Nyumba inauzwa

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,724
Reaction score
3,834
Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,

Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,
 
Duh!! hizo nyumba mbili mbona zinaonekana kama vyumba viwili na hiyo bei wala haviendani!
 
Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,

Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,
Hiyo sio nyumba ya kuuza kwa bei hiyo aisee,
Punguza
 
Bei gani imeandikwa,,nyumba ya mbele ni room tatu na master na sebule na dinning,ila haijaisha,,na eneo ni kubwa,, na mbele kuna fremu ya duka pia inatumika
 
Hata kwa hivyo ulivovitaja bado hiyo bei unayouzia ni kubwa sana aisee, Yaani nyunba ambayo haijaisha unauza bei sawa na nyunba iliyoisha?
 
Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,

Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,
Huyo kwenye avatar ni wewe mkuu?!
 
Bei gani imeandikwa,,nyumba ya mbele ni room tatu na master na sebule na dinning,ila haijaisha,,na eneo ni kubwa,, na mbele kuna fremu ya duka pia inatumika
Punguza kidogo tufanye biashara nimeipenda...
 
Bei gani imeandikwa,,nyumba ya mbele ni room tatu na master na sebule na dinning,ila haijaisha,,na eneo ni kubwa,, na mbele kuna fremu ya duka pia inatumika
Mkuu jiongeze, ujumbe unaofikishiwa hapo ni kuwa weka bei na picha.

Maana kwa jinsi ulivyoweka tangazo lako bado halijitoshelezi.

Mwishowe mjadala unaweza kuhamia kwenye avatar yako ([emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] just kidding).
 
Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,

Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,
Mbona hilo bati limeoza. Na huo ufa hapo jamani kwa bei hiyo. Hem punguza kidogo basi hata milioni 10 walau.
Hata lipu haijapigwaa. Loh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…