Nauza nyumba yangu ipo mbagala zakhem ina vyumba viwili, jiko, choo na ipo na fensi ya matofali. Inaumeme pia ina nafasi ya kuongeza vyumba viwili na ipo katika hali nzuri. Gari inafika mpaka mlangoni. Lakini haiingii ndani.
Bei mil: 25,000,000=
Dalali marufuku. Kama ni mnunuzi ndi anatakiwa