GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Mkuu chukua mda wako kwa utulivu usome tena.Weka bei...
Ngoja ajibu maana na Mimi nilikuwa na maswali hayoKiwanja kina ukubwa gani, kiwanja kina tittle deed? Kijiji ni pana, sema iko kijichi eneo gani? Je gari inafika? Yaani ni vizuri san ukaelezea biashara vizuri ili kuepuka maswali mengi.
UmeEdit MkuuMkuu chukua mda wako kwa utulivu usome tena.
Nyumb ipo kijichi mgeni nani kina leseni ya makazi ukubwa ni futi 100kwa 115
Hii hali inanitisha sana ,nyumba na viwanja vingi vinauzwa sana kipindi hiki kwa bei za kiaina aina kana kwamba kuna mstukizo flani ,Nini kinachoendelea wakuu? maana hata kama ni ukata sio hivi.Au haya ndo maeneo ya wazi yanayolalamikiwa kila siku