1. Nyumba ipo Tabata Kisukulu, Wilaya ya Ilala, jijini Dar Es Salaam
2. Nyumba ipo plot no 1215, Block A
3. Eneo lote linaukubwa wa mita za mraba 1072.
4. Ina hati ya miaka 33
5. Ni nyumba ya ghorofa moja bado haijamaliziwa kama picha zinavyoonyesha
6. Miundo mbinu yote muhimu kama umeme na maji vipo karibu
7 . Bei ni mil 260/= Maongezi yapo
8. Kwa maelezo zaidi mawasiliano ni
0659 211 222
0755 411 455 whatsapp tu
Picha na ramani
Hamna kinachokimbiwa ni suala la maamuzi tu na kuwekeza sehemu nyingine. Vile vile kabla ya kununua si lazima ujiridhishe kwa kila kitu. Ununuzi wa nyumba ni hatua si kama gari ununuayo kwa muda mfupi

Kwani ramani ya nyumba ya kisasa ipo vipi. Vie vile kama ni mteja serious kabla ya kuinunua lazima ujiridhishe kwa kupata ramani. Lakini yote juu ya yote nyumba si gari ukashindwa kuirekebisha utakavyo. Maana kila mtu na muono na mahitaji yake atakavyo. Hiyo nyumba ni ya kisasa