ipo eneo zuri yombo vituka,gari inafikika,umeme upo karibu,maji yapo,ipo karibu na barabara ya mtaa,anayehitaji anipm au aweke namba yake nitampigia akishindwa anicheki kwa
manambapunje@yahoo.com,bei milioni 25 kulingana na hali yake na ina eneo kubwa la hatua 40 kwa 14