Mkuu bora umeona hilo tuna watu wa ajabu sana nchi hii...hawajui mtu ana shida gani kwann kauza wao wanakuja na maneno ya ajabu kabisa halafu hata sio wanunuzi
Na ungekuta inauzwa mil.30 wangeanza tens kulalamika wangeanza lalamika oooooh apo akuna huduma za kijamiii ...Mara kiwanj na nyumb ni ndogoo daaah yaani watanzania wenzang nimeshindwa kuwaelewa
Chief nyumba hainunuliwi kama mboga sokoni unafanyika uchunguzi kwanza kujiridhisha baada ya hapo ndio mtu anaweza lipia suala la road reserves na mengineyo wachie wanunuzi wewe endelea kupiga ramli
Mkuu usipanic, Ila Hebu Jaribu kutukikishia pasi n'a shaka Kuwa Hilo eneo ni salama kwa mununuzi. Kuna njia nyingi tu za kuweza kumuridhisha mununuzi mtarajiwa bila panic. Anyway I'm sorry kama nimekukwaza, Ila kiufupi hizo ni challenge unazopaswa kuzijibu kwa utulivu mkuu ili n'a wengine wenye Wasiwasi uwatoke.