Scumbag, toa Maelezo ya kutosha,ina hati?,wewe Dalali au muhusikaKama kipi Chief?watu wanauza wana mambo yao sio suala la kusema kuna kitu hakipo sawa kama sio mnunuzi you better shut up your big mouth
Napatikana kaka au ni dm piga kwa 0622 027490Boss mbona simu haipatikani?Umeahiisha kuuza?au tayari imeuzwa?Imejengwa mwaka gani?kuna watu wanaishi hapo sasa hivi? wewe ni mmiliki,dalali au unamdai mwenye nyumba?Una mke au familia?Wewe mwenyewe unaishi hapo kwenye nyumba au unaishi sehemu nyingine?Tunaweza ingia mkataba wa malipo ambao utanipa muda wa kufanya uhakiki kidogo?Niambie PM
Hii itakuwa kwenye rose réserve si bure, kwenu makininaweza nikaidalalia kwa njia zangu mwenyewe halafu ww ukala 15 M zako mwenyewe
bei hadi inaogopeshaHii itakuwa kwenye rose réserve si bure, kwenu makini
Kuna uzi mwingine kaitangaza 20m. Kama siyo bondeni, basi ni hifadhi y'a barabara au kuna Tatizobei hadi inaogopesha
Mkuu bora umeona hilo tuna watu wa ajabu sana nchi hii...hawajui mtu ana shida gani kwann kauza wao wanakuja na maneno ya ajabu kabisa halafu hata sio wanunuziUbay moj watanzania kila kitu wanaping usez jua muuzaj ana tatizo gan limempata adi auze
Chief nyumba hainunuliwi kama mboga sokoni unafanyika uchunguzi kwanza kujiridhisha baada ya hapo ndio mtu anaweza lipia suala la road reserves na mengineyo wachie wanunuzi wewe endelea kupiga ramliHii itakuwa kwenye rose réserve si bure, kwenu makini