McAnton JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 259 Reaction score 37 Oct 30, 2014 #1 Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp) ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika eneo hilo kiwanja cha ujenzi kinauzwa zaidi ya milioni 10 contacts: 0713565999 / 0767565999 Attachments IMG_20141007_120841.jpg 439.4 KB · Views: 820 IMG_20141007_120620.jpg 453.9 KB · Views: 745 IMG_20141007_120815.jpg 414.1 KB · Views: 683 IMG_20141007_120744.jpg 566 KB · Views: 698
Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp) ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika eneo hilo kiwanja cha ujenzi kinauzwa zaidi ya milioni 10 contacts: 0713565999 / 0767565999
Njaa JF-Expert Member Joined Dec 6, 2009 Posts 1,022 Reaction score 412 Oct 30, 2014 #2 uwanja finyu sana huo, pia kama uswazi sana vile..., Chanika pande gani kule? Chukua tano, kama upo tayari PM
uwanja finyu sana huo, pia kama uswazi sana vile..., Chanika pande gani kule? Chukua tano, kama upo tayari PM
M MR. MORRIS T. J. JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 1,167 Reaction score 403 Oct 30, 2014 #3 McAnton said: Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp) ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika eneo hilo kiwanja cha ujenzi kinauzwa zaidi ya milioni 10 contacts: 0713565999 / 0767565999 Click to expand... vyumba vingapi vya kulala?
McAnton said: Ni nyumba ambayo haijakamilika kama inavyoonekana pichani iko chanika mjini mtaa wa makao makuu tarajiwa ya wilaya (vodp) ni mtaa uliopakana na stendi ya chanika eneo hilo kiwanja cha ujenzi kinauzwa zaidi ya milioni 10 contacts: 0713565999 / 0767565999 Click to expand... vyumba vingapi vya kulala?
McAnton JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 259 Reaction score 37 Oct 30, 2014 Thread starter #4 MR. MORRIS T. J. said: vyumba vingapi vya kulala? Click to expand... Vyumba vitatu vya kulala na living room
MR. MORRIS T. J. said: vyumba vingapi vya kulala? Click to expand... Vyumba vitatu vya kulala na living room
McAnton JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 259 Reaction score 37 Oct 30, 2014 Thread starter #5 Njaa said: uwanja finyu sana huo, pia kama uswazi sana vile..., Chanika pande gani kule? Chukua tano, kama upo tayari PM Click to expand... Tano hapana mkuu...mwisho kabisa 7.5M
Njaa said: uwanja finyu sana huo, pia kama uswazi sana vile..., Chanika pande gani kule? Chukua tano, kama upo tayari PM Click to expand... Tano hapana mkuu...mwisho kabisa 7.5M
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,059 Reaction score 10,519 Oct 30, 2014 #6 Mc Anton, Kwa chanika hii nyumba ni bei ya kutupa sio siri. Yaani rahisi hadi naogopa. Hembi niambie ukubwa wa kiwanja,ili kujua kama fance inakaa,maana maeneo hayo unaweza kununua kisha ukapangisha ukala pesa nzuri kwa mwenzi aiseee
Mc Anton, Kwa chanika hii nyumba ni bei ya kutupa sio siri. Yaani rahisi hadi naogopa. Hembi niambie ukubwa wa kiwanja,ili kujua kama fance inakaa,maana maeneo hayo unaweza kununua kisha ukapangisha ukala pesa nzuri kwa mwenzi aiseee
McAnton JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 259 Reaction score 37 Oct 30, 2014 Thread starter #7 Zanzibar Spices said: Mc Anton, Kwa chanika hii nyumba ni bei ya kutupa sio siri. Yaani rahisi hadi naogopa. Hembi niambie ukubwa wa kiwanja,ili kujua kama fance inakaa,maana maeneo hayo unaweza kununua kisha ukapangisha ukala pesa nzuri kwa mwenzi aiseee Click to expand... Kwa kununua na kuimalizia ili upangishe panafaa sana...
Zanzibar Spices said: Mc Anton, Kwa chanika hii nyumba ni bei ya kutupa sio siri. Yaani rahisi hadi naogopa. Hembi niambie ukubwa wa kiwanja,ili kujua kama fance inakaa,maana maeneo hayo unaweza kununua kisha ukapangisha ukala pesa nzuri kwa mwenzi aiseee Click to expand... Kwa kununua na kuimalizia ili upangishe panafaa sana...
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Oct 30, 2014 #8 Squater!kungekuwa na nafasi kidogo lol