habar zenu wanajf...tunauza nyumba yetu ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka..inavyumba vitatu chumba kimoja kina sebule.
Ina Jiko la nje na inamilango miwili ya biashara..maji na umeme vipo full time.
Pesa ya haraka inahitajika bei ni 17.5m maongez yapo kidogo...
Kwa mwenye uwezo, uhitaji na nia atuokoe na hili...
Kwa mawasiliano pga 0713 575797
Natanguliza shukran.
Umenifurahisha mkuu, haina mgogoro wowote wakifamilia wala wakiserikali, tunauza kwa shida nyngne kabsa na wauzaj c wanandugu bali ni wazaz wenyew waliojenga kwa jasho lao mim ni mtoto wao nawakilisha.....