Information zaidi twende inboxTangazo limeisha au umeenda kuleta info zaidi?
Alafu Watu kama hawa ni wakali kweli, utasikia 'sitaki dalali'Tangazo limeisha au umeenda kuleta info zaidi?
taja eneo ilipo nyumba, sifa ya nyumba pamoja na bei, ili ushawishi wateja ktk hatua ya mwanzo PM zinafuata baadaeNyumba iko Tabora mjini. Kama unahitaji ni PM.
Kesho nitatumataja eneo ilipo nyumba, sifa ya nyumba pamoja na bei, ili ushawishi wateja ktk hatua ya mwanzo PM zinafuata baadae
Tangazo lako halishawishi wateja.Nyumba iko Tabora mjini. Kama unahitaji ni PM.
Tangazo limeisha au umeenda kuleta info zaidi?
Tangazo lako halishawishi wateja.
Unauza nyumba Tabora. Je eneo gani? Nyumba inaukubwa gani na sifa gani za ziada? Ukubwa wa kiwanja chenye hiyo nyumba? Je kina hati? Bei? Na kadharika. .

LOCATION - CHEYO ‘A’ TABORA MUNICIPALITYWeka picha na bei.
Onga kama mnunuzi, siyo kejeli. sema what next do you need , picha nazifanyia kazi nitaziweka leo.nyumba nzuri sana, nimeipenda hyo rangi yake! alafu hlo bati lake nalo ni zuri sana