Dip aisee hii nyumba rahisi,maana kuna nyumba nilipita maeneo ya Tabara karibu na Harvad school inauzwa 90m,imeezekwa tu,hakuna bati wala hakuna mlango wala madirisha,full vumbi haina mtu zaidi ya mbuzi.Pia mitaa hiyo utaiona.
Maeneo ya Tabata hasa kuelekea segerea nyumba ni ghali sana.
Kazi yangu ile ya kutafuta kiwanja kiwanja umefikia wapi?Tabata Karibu ya Harvard