Nyumba Inauzwa(Sio Mpya) Tabata Kimanga

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,938
Anzia maisha na hili Banda baki mjini
Mi nimehamia kijijin

Unafagia tu na kuhamia maelewano yapo,kuna wapangaji 3 ndani.

bei 18m.

Tabata Kimanga,Ugombolwa,mbuyuni.
Dak 10 toka stend kuu mwisho.

Rooms 3+ sebule+jiko+ nafasi ya kupaki pikipiki hata 5 ndani. + maji dawasco + umeme luku haina deni.




 

Attachments

  • VID-20190119-WA0002.mp4
    11.8 MB · Views: 16
Sio ya urithi usipotoshe ila nilianzia maisha nimehama sikai hapo, nimejenga nyingine majohe. Mi naona zaidi ya wapangaji hainisaidii sana nataka niongeze mtaji nifanye mambo mengine sinavl tatizo na sehemu ya kuishi. Ikishindikana kuuza basi nitafugia kuku wa kizungu wanalipa kuliko wapangaji

Hizi Nyumba urithi zina matatizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hallo nivueni hilo banda. 13m×15m
Tabata Kimanga jirani na mazda mbuyun
Vyumba 3 + sebule+ jiko+ umeme+ maji

Nipe bei halina tatizo nilianzia maisha nimehamia nje ya mji sitaki kelele nipe
Hivyo vipimo haviko sahihi sana nadhani ni 13x 17m ni kuhakikisha

Bei haizidi 23m maongezi yapo madalali najua wanachotaka hamna shida


 

Attachments

  • IMG-20190119-WA0001.jpg
    18.6 KB · Views: 44
  • IMG-20190118-WA0003.jpg
    24.6 KB · Views: 52
  • IMG-20190118-WA0001.jpg
    26.8 KB · Views: 43
  • IMG-20190118-WA0000.jpg
    35.5 KB · Views: 43
  • Mbele. Show ya tofali na maua imetolewa na mvua, Ilioongezewa kujengwa ndio maana kuna tofaut...jpg
    138 KB · Views: 43
  • Kwa nyuma B bila kipande kinachoonekana kwenye picha kwa inayoitwa k KWA NYUMA _A Kinanda ki...jpg
    63.2 KB · Views: 42
  • IMG-20190119-WA0001.jpg
    18.6 KB · Views: 45
  • IMG-20190118-WA0002.jpg
    28.9 KB · Views: 41
  • IMG-20190118-WA0003.jpg
    24.6 KB · Views: 46
  • IMG-20190118-WA0001.jpg
    26.8 KB · Views: 39
  • IMG-20190118-WA0000.jpg
    35.5 KB · Views: 40
  • VID-20190119-WA0002.mp4
    11.8 MB · Views: 12
Anzia maisha na hili Banda baki mjini
Mi nimehamia kijijini

bei 18m.

Tabata Kimanga,Ugombolwa,mbuyuni.
Dak 10 toka stend kuu mwisho.

Rooms 3+ sebule+jiko+ nafasi ya kupaki pikipiki hata 5 ndani. + maji dawasco + umeme luku haina deni.

Your browser is not able to display this video.
 
Anzia maisha na hili Banda baki mjini
Mi nimehamia kijijini.

Ni ya kufungua kufagia na kuanza kuishi. Kuna Wapangaji 3

bei 18m.

Tabata Kimanga,Ugombolwa,mbuyuni.
Dak 10 toka stend kuu mwisho.

Rooms 3+ sebule+jiko+ nafasi ya kupaki pikipiki hata 5 ndani. + maji dawasco + umeme luku haina deni.

Nje mvua iliharibu shoo.
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • tapatalk_1555574558747.jpeg
    52.1 KB · Views: 17

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…