Hajaongeza sifuri bali itakuwa ni sawa mkuu. JK kajenga uchumi hadi 400m ikawa pesa ya fremu tatu za maduka na 10m pesa ya mboga, nini tena unahitaji!?Ni hilo ghorofa kwa nyuma au hiki kijumba hapa chenye maduka?Ni milioni 400 au umeongeza sifuri mbele?
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..Nyumba inauzwa, Ipo Dar es salaam, maeneo ya Sinza, Barabara ya Shekilango, Block "B" mita sitini kutoka barabarani. Bado ipo katika hali nzuri na kuna fremu tatu za maduka, bei ni milioni 400 tu pesa ya Kitanzania.
Piga simu kwa mazungumzo ya kununua 0715528283..
Mkuu ungesema Kiwanja kinauzwa na kina nyumba kama hiyo Ingekuwa vizuri Zaidi.
400m,kwa value ya nyumba nikiitathmini haraka haizidi 15m.
Maana hapo mtu ananunua kiwanja anapandisha dude kama wenzie.
Ni maoni yangu tu hayo mkuu,kwamba ungenadi kama kiwanja
[SUP]NYUMBA INAUZWA , IPO DAR ES SALAAAM, MAENEO YA SINZA , BARABARA YA SHEKILANGO, BLOCK "B" MITA SITINI KUTOKA BARABARANI, BADO IPO KATIKA HALI NZURI NA KUNA FREM TATU ZA MADUKA BEI NI MILIONI 400 TU PESA YA KITANZANIA.
Piga simu hii kwa mazungumzo ya kununua: [/SUP][SUP]0715528283[/SUP]
View attachment 237950
Hiyo mijengo ya jirani ndo inakipa thamani hiko kiwanja na si nyumba iliyopo kwenye kiwanja husikaWewe mwenyewe si unaona mijengo iliyoizunguka hiyo nyumba. Yaaan panafaaa kwa biashara yoyote. Hiyo bei niliyokutajia si kwa ajili ya hiyo nyumba , la hasha hiyo bei ni kwa ajili ya hicho kiwacha !!!
kwa kijumba hiki nitoe 400m. Acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach jogoo,kama unaenda tegeta mkono wa kulia. Bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha legho sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120m. Coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..
Kina ukubwa gani hicho kiwanja, Kina hati?
Nyie mnaoponda hiko kijumba nadhan kuna kitu hamjakitendea haki,nachojua mimi nyumba ni kiwanja..muhitaji haswa akipataka hapo anavunja hiko kibanda anasimamisha ghorofa cha ku-doubt hapo labda ni umbali kutoka barabarani kama ipo barabarani basi sioni tatizo..K/koo watu wananunua nyumba za miti juzi tu hapa nyumba niliyokuwa nimepanga frame imetangazwa kuuzwa haijachukua hata wiki watu wametoa 1.2billion na imevunjwa imezungushiwa bati kusubiri ujenzi,kinachoangaliwa hasa nyumba ipo sehemu yenye biashara?
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..
Ni hilo ghorofa kwa nyuma au hiki kijumba hapa chenye maduka?Ni milioni 400 au umeongeza sifuri mbele?
Yaaan hiyo nyumba imepimwa na ina hati zote. Inatambulika mpaka Wizara ya Ardhi , Nyumba na Makazi.Ukubwa wake ni square mita mia tatu. Hapo kitu utakachofaidi sio hiyo nyumba, bali hicho kiwanja kipo eneo zuri sana la biashara. Ni vizuri ukinunua ujenge ghorofa kama wenzako hapo. Kwa maana ndo nyumba pekeee iliyobaki ya chini. Kwa maana imezungukwa na maghorofa kwa maana eneo linalipa kibiashara.
Ni hilo ghorofa kwa nyuma au hiki kijumba hapa chenye maduka?Ni milioni 400 au umeongeza sifuri mbele?
Ni hiyo nyumba yenye fremu (maduka). Ya kwamba unaposikia nyumba inauzwa sio kwamba bei iwe sawa na nyumba yenyewe. Bali hicho kiwanja kipo eneo la biashara ???? Mahala kiwanja kilipo ndo bei yake. Hata ukitumia macho yako tu utaona nyumba imezungukwa na maghorofa tupu,utasema hilo eneo halina biashara ????? Jamani hapo unauziwa kiwanja na sio nyumba. Lakini huwezi kusema kiwanja kwa sababu tayari kuna nyumba imejengwa.