Q quintella Member Joined Feb 4, 2009 Posts 20 Reaction score 1 Nov 20, 2016 #1 Nyumba ya vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko inauzwa salasala, ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 20m x 20m, haina hati, bei ni Tshs. 30,000,000/= kwa anayehitaji anaweza kupiga namba 0625595624, karibuni. Attachments 1472549136015.jpg 9.8 KB · Views: 91 1472585175976.jpg 8 KB · Views: 73 1472723659109.jpg 12.1 KB · Views: 80 1472726611295.jpg 10.4 KB · Views: 74 1472733306837.jpg 12.4 KB · Views: 74
Nyumba ya vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko inauzwa salasala, ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 20m x 20m, haina hati, bei ni Tshs. 30,000,000/= kwa anayehitaji anaweza kupiga namba 0625595624, karibuni.
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,664 Nov 20, 2016 #2 Sasa mbona habari yajichanganya? Umesema haina bati wakati picha inainesha ina bati...........!
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,664 Nov 20, 2016 #3 Oooh sorry...kumbe imesema haina HATI....Asante kwa kusema ukweli.....
M maswitule JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,392 Reaction score 477 Nov 20, 2016 #4 Iko vzr sema uchumi ni shida
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,664 Nov 20, 2016 #5 Maana nyumba isiyo na hati ina RISK kubwa!!!
C chekx JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 591 Reaction score 343 Nov 20, 2016 #6 Hiii ipo Salasala au Goba Majengo?!!! Tena km sijakosea ni.baada ya cheo streete, mbele yake kuna barabara kubwa, kweli kimefika 20x20m kweli?!!
Hiii ipo Salasala au Goba Majengo?!!! Tena km sijakosea ni.baada ya cheo streete, mbele yake kuna barabara kubwa, kweli kimefika 20x20m kweli?!!
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,301 Nov 20, 2016 #7 Malyenge said: Sasa mbona habari yajichanganya? Umesema haina bati wakati picha inainesha ina bati...........! Click to expand... Ndugu yangu wewe soma vzr, amesema haina hati!!!!
Malyenge said: Sasa mbona habari yajichanganya? Umesema haina bati wakati picha inainesha ina bati...........! Click to expand... Ndugu yangu wewe soma vzr, amesema haina hati!!!!
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,664 Nov 20, 2016 #8 GUI said: Ndugu yangu wewe soma vzr, amesema haina hati!!!! Click to expand... Nimesharekebisha....angalia namba tatu hapo juu. Hata hivyo asante....
GUI said: Ndugu yangu wewe soma vzr, amesema haina hati!!!! Click to expand... Nimesharekebisha....angalia namba tatu hapo juu. Hata hivyo asante....
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,806 Nov 20, 2016 #9 Malyenge said: Sasa mbona habari yajichanganya? Umesema haina bati wakati picha inainesha ina bati...........! Click to expand... Malyenge said: Oooh sorry...kumbe imesema haina HATI....Asante kwa kusema ukweli..... Click to expand... Teh teh teh!!! We kweli Malyenge a.k.a makengeza kwa kihehe
Malyenge said: Sasa mbona habari yajichanganya? Umesema haina bati wakati picha inainesha ina bati...........! Click to expand... Malyenge said: Oooh sorry...kumbe imesema haina HATI....Asante kwa kusema ukweli..... Click to expand... Teh teh teh!!! We kweli Malyenge a.k.a makengeza kwa kihehe