kama kichwa cha habari kinavyo someka :
Nyumba inauzwa ndogo imekamilika na Pagara ,zimezungushiwa wigo na ipo Barabarani.
Ipo mkoa wa Songwe wilaya ya Momba Halmashauri ya Tunduma kilometer 2.5 toka mpakani mwa Zambia na Tz.
Kiasi cha shilingi Million 22 Maongezi yapo. kwa maswali zaidi na maongezi njoni PM karibuni
Sent using
Jamii Forums mobile app