Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
Mbona zipo au mafundi wako sio wa kisasa.Hiz rangi mnatoaga wapi? Kha
Haina tatizo lolote njoo uikague nenda serikali za mtaa nenda kwa majirani fanya uchunguzi uwezavyo.haina tatizo loloteMil 35???? Ina tatizo gani ebu orodhesha matatizo yake yote hapa
Karibu sanangoja tajiri yangu aamke nitamshtua maana 35m kwake sio ttz
Ipo Kishiri center barabara ya kwenda kwa mwenyekitiNimeipenda sana hii nyumba,IPO kishiri maeneo gano?
Pengine ni bahati kwenu,ila bei kuwa ndogo inategemea na uwezo wa mtu na mtu kwa wengine ni kubwa sanaHiyo bei ni ndogo. ..mpaka umenishtua
Sawa, ngoja aje Mwenye uhitaji wa nyumba tufanye biasharaKwa mtu aliyejenga nyumba ananielewa. ...kiwanja tu inaweza kuwa 10m
mkuu wewe ni afisa mahusiano wa hiyo bank?Mkuu hii ndiyo mmiliki wake alikuwa anafanya kazi MANTRACK akakopa na hela CRDB halafu akaachishwa kazi?
Mwenyekiti wa mtaa kwenye hiyo nyumba anaitwa nani? Nijulishe tafadhali
Hahahahaaaa. Apana kaka, nadhani tu naifahamu hiyo nyumbaMkuu we
mkuu wewe ni afisa mahusiano wa hiyo bank?
Mbona zipo au mafundi wako sio wa kisasa.
Hii nyumba IPO jirani na bustani ya mapapai Mwenyekiti ni mmoja tu yule wa kishiri center (kijana hivi mweupe) mrefu mwembambaMkuu hii ndiyo mmiliki wake alikuwa anafanya kazi MANTRACK akakopa na hela CRDB halafu akaachishwa kazi?
Mwenyekiti wa mtaa kwenye hiyo nyumba anaitwa nani? Nijulishe tafadhali