Ukishaanzisha naomba unitagg[emoji3] [emoji3]Hahahahahahahahaaa looh nimeishia kucheka tuu. Ngoja nikaanzishe uzi kabla sijalala maana akili za Kasie anazijua Kasie mwenyewe hata mie sielewagi saa ingine eehehehehehehehehheheheeeee
# HHM
Kasie Mambo Yote.
Ukishaanzisha naomba unitagg[emoji3] [emoji3]
Ndo nimeuona hivi, kumbe na ww ni muhanga[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa bila kujua kiingereza sijui ungekua unaandika kilugha chenu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaaha mi sitaki jamani kwamba pombe inabadilisha maneno toka kiswahili kwenda kiingereza?
Haahahhaa sinywagi pombe, ila kwakuwa nataka ushahidi nitajaribu! Then nitakupa mrejeshoKweli tena, mie nilishashuhudia kwa macho yangu, au wewe jifanyie majaribio, weka tape recoda kunywa halafu uone utaanza kuongea maneno yepi hehehehehee.
Haahahhaa sinywagi pombe, ila kwakuwa nataka ushahidi nitajaribu! Then nitakupa mrejesho
Naona mmeanza soga hapa, tangazo LA nyumba kapuniKweli tena, mie nilishashuhudia kwa macho yangu, au wewe jifanyie majaribio, weka tape recoda kunywa halafu uone utaanza kuongea maneno yepi hehehehehee.
Avatar yako tuu inaonyesha vyuma vimekaza kwako
Mamaa inategemea pombe gani? Akinywa Mbege ya Marangu ataongea kichaga tu...Hahahahaaa kiinglish kingekuja tuu, hujawahi ona mtu hajawahi kwenda shule na wala hajui kusoma, ila akilewa anaongea English mwanzo mwisho?
Mamaa inategemea pombe gani? Akinywa Mbege ya Marangu ataongea kichaga tu...
Hapana kwetu tunakunywa mnazi... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hahahahaaa looh
Wewe ni mmarangu?
Hapana kwetu tunakunywa mnazi... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji39] [emoji39] [emoji39]