http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/5ac23741a1f45a8f5ee7eb4fe6
cc67f9.jpg
Nyumba ipo Twangoma mwapemba km 2.5 kutoka barabara ya kigamboni
Vyumba 3 vikubwa kimoja master
Sebule kubwa
Dining
Jiko
Choo cha public
Eneo la kiwanja ni 40*25
Eneo la kujenga nyumba nyingine lipo
Ndugu kama walivyoshauri wengine hapo juu..piga picha nzuri hasa za eneo la ukubwa wa kiwanja..piga kwa nje eneo lionekane vizuri..hizo picha za ndani hazivutii kwakweli