Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Apr 15, 2014 #1 ipo eneo la K'ndon shamba.. Piga 0766589444
T trplmike JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 701 Reaction score 798 Apr 15, 2014 #2 Manka R said: ipo eneo la K'ndon shamba.. Piga 0766589444 Click to expand... Kiwanja kina ukubwa gani? jee hiyo nyumba ni ya kurithi? funguka zaidi mkuu nipo serious
Manka R said: ipo eneo la K'ndon shamba.. Piga 0766589444 Click to expand... Kiwanja kina ukubwa gani? jee hiyo nyumba ni ya kurithi? funguka zaidi mkuu nipo serious
Complex JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 4,120 Reaction score 4,790 Apr 15, 2014 #3 Ipo eneo ambalo maji/mafuriko hayafiki.? Picha, exactly eneo.?
Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Apr 15, 2014 Thread starter #4 Nyumba imejengwa rom 3 na 1sittingroom... Pia sababu ipo kwnye barabara mtaan kaweka kifrem nje.. pia maji yanasimama simama wakati wa mvua.. Sababu ni barabaran unaweza weka ukarabati labda kuchimba yateremke barabarani yasisimame hapo
Nyumba imejengwa rom 3 na 1sittingroom... Pia sababu ipo kwnye barabara mtaan kaweka kifrem nje.. pia maji yanasimama simama wakati wa mvua.. Sababu ni barabaran unaweza weka ukarabati labda kuchimba yateremke barabarani yasisimame hapo
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Apr 16, 2014 #5 Hilo eneo sio linatakiwa kubomolewa kweli??
Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Apr 17, 2014 Thread starter #6 Haliwezi kubomolewa mkuu maana halipo kwnye barabara kuu.. Ni mtaani
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 Apr 17, 2014 #7 Stuka!! Kinondoni shamba sweet home of mafuriko in kinondoni that why unaona nyumba inauzwa kwa bei ya Hiece.
Stuka!! Kinondoni shamba sweet home of mafuriko in kinondoni that why unaona nyumba inauzwa kwa bei ya Hiece.
P puto Senior Member Joined Mar 12, 2012 Posts 127 Reaction score 96 Apr 17, 2014 #8 Uzuri wa kiwanja hupimwa wakati wa mvua jamani changamkieni offer hyo.