Nyumba inauzwa Mikocheni B

hidden sorrow

Senior Member
Joined
Oct 15, 2007
Posts
151
Reaction score
308
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa mikocheni B karibu na kanisa la Assemblies of God. mawasiliano piga simu namba 0755 092 734 au whatsapp 0754 810 853 bei maelewano
 
Heee!! Kumbe bado mikocheni b kuna nyumba za aina hii?!! Hapo sema unauza kiwanja mkuu. Kwani baada ya muda unaweza ambiwa hiyo nyumba ni hatarishi kwa usalama wa majirani zako!!!
 
Heee!! Kumbe bado mikocheni b kuna nyumba za aina hii?!! Hapo sema unauza kiwanja mkuu. Kwani baada ya muda unaweza ambiwa hiyo nyumba ni hatarishi kwa usalama wa majirani zako!!!
hiyo mitaa kuja viwanda zipo duni zaid ya hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…