Nyumba inauzwa mbezi juu

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,139
Reaction score
366
Nyumba hii haijakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 50 kwa mita 30. Bei ya kuuzia ni sh 45mil. kukiona au maelezo ya ziada tuwasiliane kupitia 07171114409.
 

Attachments

  • IMG01908-20120707-1222.jpg
    93.8 KB · Views: 85
  • IMG01909-20120707-1223.jpg
    102.8 KB · Views: 83
  • IMG01910-20120707-1231.jpg
    106.1 KB · Views: 79
  • IMG01911-20120707-1231.jpg
    95.6 KB · Views: 78
  • IMG01912-20120707-1232.jpg
    90.2 KB · Views: 73
uko serious kwamba kibanda kama icho mtu anunue kwa hela hiyo? hizi hela wengine wanaokota nini?
 
si kiivyo labda kiwanja kingekuwa mjini kidogo kwa ajili ya bishara tanzania hatujafikia kiwango hicho bei kubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…