Nyumba inauzwa Mbezi Beach

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,138
Reaction score
365
Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, dinning na sebure. Imejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 850. Ina hati miliki. Bei 210mil. ukihitaji kuinunua tuwasiliane kupitia hii namba 0717114409 au tuwasiliane kupitia email hii info@kitomai.com Asante na karibu.
 

Attachments

  • DSCN1886.JPG
    30.7 KB · Views: 602
  • DSCN1871.JPG
    40.9 KB · Views: 154
  • DSCN1872.JPG
    46.4 KB · Views: 157
  • DSCN1873.JPG
    25 KB · Views: 137
  • DSCN1875.JPG
    22.3 KB · Views: 141
  • DSCN1876.JPG
    27.2 KB · Views: 139
  • DSCN1877.JPG
    20.4 KB · Views: 139
  • DSCN1878.JPG
    16.6 KB · Views: 133
  • DSCN1879.JPG
    30.1 KB · Views: 133
Jamani mimi ni kijana mjasiliamali hasa najihusisha na utengenezaji wa batik aina zote kama vile, tie&die pamoja na batik print zenye viwango vya juu.Tafadhali naomba support kwa kunipa oda 0717539573 au stanslausd@yahoo.com kwa Dar utaletewa ulipo mikoani ntakutumia kwa njia ya mabasi.
 
Hivi ni kweli pesa yetu imekosa thamani kiasi hicho? Hivi m210 wewe unaeuza hiyo nyumba unaijua?au dalali tu?
 
Naomba title ubadilishe, maana hiyo 'nyumba' haijakamilika na kweli 210m is very high, unless ni kiwanja mnauza.
 
Kwa hela hiyo naweza kujenga tatu kama hizo zikafikia hadi mwisho !
 
Mkuu Kitomai hii ipo pande zipi za Mbezi beach?
 
mbezi beach nyumba dili kule tena iyo mil 210 naona kama rahisi vile!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…