Nyumba inauzwa Mbezi beach

Hii sio bilioni mbili ? Ngoja kwanza nifukuzie kiwanja Mpiji Majohe 20*20 hii dunia haiko fair
ha ha ha kweli aiise huo mjengo unaweza kuta bei yake unaweza jenga nyumba kama 5 Kyle chanika na chenji ya kununulia ka passo ikabaki..wacha maisha yaendelee
 
Hapo hata benki kukuadvance ni shughuli hata wakijanyang'anya itawadodea
 
acha roho mbaya mkuu

Siyo hivyo tatizo wewe unataka vilivyokwishatengenezwa utumie tu hutaki kutafuta wa kumpa mawazo ambayo mupate kije kiwafae wote,tumia plan B kama A haikusaidi ila kupata milioni siyo tabu tabu kuitunza tu hiyo milioni
 
Haaaaaaah..... Hii c nyumba ya Uncle?? Inawaje anaiuza? kapatwa na nini? Mmmmh..!!! Ngoja nimuulize Mother hapa
 

Naona tayri safari y kuishi kama mashetani imeanza sasa.
 
Nyumba nzuri ila mshiko wake sitauweza mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…