Acha kulalama!bei hiyo kwa mbezi beach ni kawaida tu mbonaMm naona hakuna nyumba hapo unauza kiwanja tu tena 150 milioni kwa 400 square metres!!!
Iyo nyumba inajaa maji alafu iyo nyumba haipo makonde acha uongo wewe, iyo nyumba Mimi naijua acha utapeli.