Nyumba inauzwa Mbagala

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
nyumba mbili zilizo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa, nyumba moja ina vyumba sita na nyingne ina vyumba saba pia kuna kuna banda moja la uani pamoja na frem 4 mbele

nyumba iko eneo la mbagala kuu ni mita 200 kutoka barabarani

kwa sasa nyumba ina wapangaji

bei ni millioni 70 ukihitaji kuiona au kwa maswali zaidi nicheki 0688206680

NB; nyumba ina hati zake zote halali na haina utata hata kidogo

pia mniwie radhi kwa kushindwa kuweka picha hapa bt nifuate whatsap ntakutumia ahsanteni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…