mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,452 May 4, 2014 #1 Nyumba inauzwa iko Magomeni Mapipa, mtaa wa Kionga street.Nyumba hiyo ina hati. Ipo karibu na bondeni hotel. Bei yake ni sh milion mia tatu na themanini.
Nyumba inauzwa iko Magomeni Mapipa, mtaa wa Kionga street.Nyumba hiyo ina hati. Ipo karibu na bondeni hotel. Bei yake ni sh milion mia tatu na themanini.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 May 4, 2014 #2 Umetunyima picha. Ndani na nje.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,452 May 4, 2014 Thread starter #3 maringeni said: Umetunyima picha. Ndani na nje. Click to expand... nyumba ni zile national housing za zamani mkuu....nyumba sehemu zile nafikiri watu wanazijuaaa mundo wake
maringeni said: Umetunyima picha. Ndani na nje. Click to expand... nyumba ni zile national housing za zamani mkuu....nyumba sehemu zile nafikiri watu wanazijuaaa mundo wake
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,554 Reaction score 9,381 May 4, 2014 #4 Inauzwa nyumba ama kiwanja? Hivi kweli zile nyumba zinafika thamani ya hiyo pesa?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,452 May 4, 2014 Thread starter #5 Kituko said: Inauzwa nyumba ama kiwanja? Hivi kweli zile nyumba zinafika thamani ya hiyo pesa? Click to expand... wenye helaa hiyo ni kiwanjaaa tu tena mtu anapigaaa yote chini....anaoteshaaaa uyoga wa maana (gorofa)...kariakoo vijumbaaa vilikuaaa hadi 800 milion..tena mtu ananunua ana vnjaaa ana jenga gorofa..
Kituko said: Inauzwa nyumba ama kiwanja? Hivi kweli zile nyumba zinafika thamani ya hiyo pesa? Click to expand... wenye helaa hiyo ni kiwanjaaa tu tena mtu anapigaaa yote chini....anaoteshaaaa uyoga wa maana (gorofa)...kariakoo vijumbaaa vilikuaaa hadi 800 milion..tena mtu ananunua ana vnjaaa ana jenga gorofa..