Nyumba inauzwa-mafinga Iringa

kisungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
788
Reaction score
266
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni masters, public toilet, ina sebule kubwa, jiko, store pamoja na dining. Haijaisha bado finishing, kiwanja kimepimwa na ni kikubwa unaweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo, maji ukichimba mita nne tu unapata, umeme hauhitaji nguzo, upo karibu. Kama uko tayari usisite kuwasiliana bei ni maelewano inaanzia 26,000,000/= call 0759517174 for serious buyer only, Mafinga Kinyanambo B
 

Attachments

  • IMG_20140115_130619.jpg
    313.3 KB · Views: 78
  • IMG_20140115_130254(3).jpg
    240.6 KB · Views: 87
  • IMG_20140115_131109.jpg
    692.2 KB · Views: 84
  • IMG_20140115_131420.jpg
    334.1 KB · Views: 74
Mh!inaonekana umelenga kuwauzia watu wa Mafinga pekee,we unafikir mteja kutoka mbali atavutiwa kuja site kwako bila kuona japo picha ya nyumba yenyewe.
 

Kwa msaada zaidi, Mafinga sehemu gani hiyo nyumba ipo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…