C chwechinyong JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 223 Reaction score 105 Jul 30, 2013 #2 mmary tuwekee picha ya jinsi nyumba ilivyo ndani na nje na pia maelezo ya kina yanayoelezea nyumba hiyo. mfano aina ya vyumba, ukubwa wa kiwanja, ipo barabarani au ndani, ina hati halali na haina mgogoro n.k Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mmary tuwekee picha ya jinsi nyumba ilivyo ndani na nje na pia maelezo ya kina yanayoelezea nyumba hiyo. mfano aina ya vyumba, ukubwa wa kiwanja, ipo barabarani au ndani, ina hati halali na haina mgogoro n.k