Weka Picha!!Wana jf, kichwa cha habari hapo juu cha husika nyumba ipo mwananyamala kwa kopa ipo barabarani kabisa bei yake inauzwa million themanini ( 80000000 ) kwa mteja aliye tayari karibu tufanye biashara piga simu namba 0655541948
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Ina hati? eneo Lina ukubwa gani? Je kuna parking ya Magari mangapi? kuna Maji ya Bomba? kuna bustani? funguka uelewekr
Nauza Viwanja Vipo Nzega -kashishi, Unakatiwa Ukubwa Kutegemea Na Hela Yako, Vipo Vya Kuanzia Laki Sita Na Kuendelea, Vipo Barabarani, Wahi Vimebaki Viwili Vya Barabarani Vya Kujenga Nyumba Na Kuweka Flem Za Maduka.HAKUNA DALALI, MIMI NDIYE MMILIKI, SM 0755570231