Nyumba ina uzwa Kinondoni Studio, inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) na makazi.
Ina vyumba 3 na master, imezunushiwa ukuta na ina geti. ina maji na mfumo wa umeme wa njia 3.
Ipo umbali wa mita 70 tu kutoka barabara ya Kawawa. Bei ni Tsh 270 Milioni.
simu 0756595959/0715595956