Ndio. Mita 100 tu kutoka barabarani
Ushauri mzuri mkuu, ila inaelekea umepitiwa mbali kidogo na gharama za ujenzi na viwanja. 45 ni pesa ndogo sana kwa quality ya materials yaliyotumika kujenga hii nyumba. Ukipiga simu ntakueleza vema.OK Pazuri sema price ipo juu kidogo jaribu kuishusha weka 40-45m ndio reasonable,Unavyosema kimepimwa lakini hakina hati ina maana huyo anayemiliki amekipatapata vipi? Amerithi kutoka kwa babu bila hata maandishi? au kama alinunua hakuna hata maandishi na sahihi za shahidi na ofisa mtendaji?