Nyumba inauzwa....!!
Ipo kigamboni block b mikadi beach
ina vyumba 4 (self moja) pia ina sebule kubwa mbili, ina gereji/store....
Pia kiwanja cha nyuma ya nyumba, matenk
ukubwa wa kiwanja ni sq meter 645
pia ni nyumba ya kisasa
bei milioni 135 tu. (135,000,000/=)
contacts: 0713 77 47 46