Details mkuu...Nyumba inauzwa kibaha ina kiwanja cha kuendeleza ujenzi ipo kongowe
Mkuu nitapiga picha baadae ila kiwanja ni sq 450 nyumba imejengwa vyumba 2self na choo zake na kwa mbele unaweza kujenga nyumba ingine na parking ya gariDetails mkuu...
Ukubwa wa kiwanja
Umbali kutoka barabara kuu
Kiwanja kimepimwa au
Documents zipo
Bei ikiambatana na picha
Bila hivyo,kwa hili jukwaa hujatenda haki!