D Dullah25 Member Joined Nov 14, 2017 Posts 10 Reaction score 1 Dec 29, 2018 #1 Nyumba inauzwa Iringa mjini Karibu na Tumaini University na Kihesa secondary school. Kwa mawasiliano call 0714 49 75 10 au 0767 33 11 70. Bei maelewano. Inaanzia 21m Karibuni Attachments NYUMBA INAUZWA.docx NYUMBA INAUZWA.docx 783 KB · Views: 41
Nyumba inauzwa Iringa mjini Karibu na Tumaini University na Kihesa secondary school. Kwa mawasiliano call 0714 49 75 10 au 0767 33 11 70. Bei maelewano. Inaanzia 21m Karibuni
M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,594 Dec 29, 2018 #2 Ulivyoandika m21 nkadhani ni kulipa na kuingia ndani kumbe hata kuezeka bado. Hapo ilipo gharama za kuimalizia mpaka kufunga milango ni zaidi ya uliyokwishatumia. Dullah25 said: Nyumba inauzwa Iringa mjini Karibu na Tumaini University na Kihesa secondary school. Kwa mawasiliano call 0714 49 75 10 au 0767 33 11 70. Bei maelewano. Inaanzia 21m Karibuni Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyoandika m21 nkadhani ni kulipa na kuingia ndani kumbe hata kuezeka bado. Hapo ilipo gharama za kuimalizia mpaka kufunga milango ni zaidi ya uliyokwishatumia. Dullah25 said: Nyumba inauzwa Iringa mjini Karibu na Tumaini University na Kihesa secondary school. Kwa mawasiliano call 0714 49 75 10 au 0767 33 11 70. Bei maelewano. Inaanzia 21m Karibuni Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app