Duh,umsakini mbaya,aisee hata kama vyumba viwili lakini bei rahisi.
Sema nakushauri ungeweka pia ukubwa wa kiwanja chake ili iwe rahisi mtu kujua kama akitaka kuitanua inakuwaje.
Maana hapo naona umeme upo mlangoni
Hilo ni bomba la shimo la choo(karo)hakuna nguzo ya umeme hapo,kiwanja ni kidogo ili kujenga nyumba nyingine inategemeana na plani ya anayehitaji kununua