Ni nyumba nzuri kwa ajili ya kuweka Maduka ya biasha au kujenga Ghorofa kwa ajili ya Kitega uchumi
Ipo katika eneo zuri kwani ni Jirani na Ghorofa za Akiba Commercial Bank na Ghorofa la Twiga Bancorp kwa nyuma nyumba hii inapakana na PAICO Ltd
View attachment 129358 View attachment 129359 View attachment 129360 ni nyumba inayoonekana na bati la kijani
inapakana na yenye bati jekundu
(nyumba inayozungumziwa ni yenye bati la kijani}
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu 0715-649214 ulizia F. J. KOMANYA
au niPM kwa undani zaidi
Madalali wanaharibu sana bei.... Hiyo nyumba ni max of 250Hata mm nakubali km ni Milioni 400 ni matajiri tu kwani hapo mtu ananunua Kiwanja nyumba mbona kaa ya tope?
sifa yake ni kwamba ipo karibu na hizo Benki na hiyo barabara iliyojenhgwa juzi ndio imeongezea umaa rufu na kuipandisha chart Waambie wapunguze bei???
Madalali wanaharibu sana bei.... Hiyo nyumba ni max of 250