Hiyo sehemu mbona kama bonde la mafuriko fulani hivi?
Mkuu hapo hapo ndipo umegusa ikulu....Kwa mvua zilivyonyesha mwaka huu nina wasiwasi kama mafuriko yanapita pale. Sema nimeangalia msingi wake zaidi kama ni mrefu wa kutosha na mengineyo ila sasa ni vizuri mtu akitoa tangango aseme pagala linauzwa maana pale mpaka iwe nyumba weka 50 million chini na zaidi kutegemeana na finishing yako!!! Yaani ile nyumba bado kabisa tena kabisa kwa hiyo hata na kiwanja kwa bei ya 42 mil ni kubwa sana kwa Kibaha.
Hapo labda utaje bei ya kiwanja lakini nyumba hapo hamna kabisa