Kitomai JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 1,138 Reaction score 365 Aug 4, 2011 #1 Ipo kimara stop over. Self contained ya vyumba vitatu, jiko, sebure na dinning, ni nyumba ya zama hizi.Imejengwa juu ya uwanja wa eka moja. Bei tshs 55mil. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409 Attachments IMG_0124.JPG 69.2 KB · Views: 88 IMG_0120.JPG 52.2 KB · Views: 81 IMG_0122.JPG 48.2 KB · Views: 77
Ipo kimara stop over. Self contained ya vyumba vitatu, jiko, sebure na dinning, ni nyumba ya zama hizi.Imejengwa juu ya uwanja wa eka moja. Bei tshs 55mil. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Aug 4, 2011 #2 Hii nyumba ina matatizo gani? zaidi ya miezi sita sasa naona inatangazwa, but mnunuzi hajapatikana!
MkimbizwaMbio JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 867 Reaction score 331 Aug 4, 2011 #3 Rejao said: Hii nyumba ina matatizo gani? zaidi ya miezi sita sasa naona inatangazwa, but mnunuzi hajapatikana! Click to expand... Imejengwa eneo la wazi. Wabongo hatuoneani huruma kabisa. Tunaingizana mkenge tu.
Rejao said: Hii nyumba ina matatizo gani? zaidi ya miezi sita sasa naona inatangazwa, but mnunuzi hajapatikana! Click to expand... Imejengwa eneo la wazi. Wabongo hatuoneani huruma kabisa. Tunaingizana mkenge tu.