mickyMICKIZ Member Joined Aug 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 May 17, 2015 #1 Nyumba yenye vyumba 3, sebule kubwa na sehemu ya kulia chakula. Parking kubwa. pia ina fensi ya ukuta. Nyumba ipo Basihaya, Boko, Dar. Tuwasiliane kupitia 0654715457 kwa picha na maelekezo zaidi.
Nyumba yenye vyumba 3, sebule kubwa na sehemu ya kulia chakula. Parking kubwa. pia ina fensi ya ukuta. Nyumba ipo Basihaya, Boko, Dar. Tuwasiliane kupitia 0654715457 kwa picha na maelekezo zaidi.
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,478 Reaction score 392 May 17, 2015 #2 Kwenye mafuriko.
K kakalaa Member Joined May 15, 2015 Posts 96 Reaction score 21 May 17, 2015 #3 Kama ipo Hayabasi ingepata mnunuzu lakini basi haya kaa mwenyewe.