Nyumba inauzwa Arusha

Imnyagi

Member
Joined
May 8, 2011
Posts
95
Reaction score
16
Nyumba kubwa ya ghorofa moja vyumba 4 vya kulala master bedroom 1 na min library na imezungushiwa ukuta wa matofali inauzwa iko eneo la kwa mrefu karibu na ceti garden iko umbali wa kama mt.150 kutoka barabara kuu ya lami ya kuelekea moshi bei yake 200ml. mazungumzo ya punguzo yapo na dalali asiye na tamaa anaruhusiwa kwa maelezo zaidi piga namba hizi +255 784 326 778
 

Nyumba ipo juu ya barabara au chini ya barabara Maeneo ya Mamuya/Denso.
 
tunaomba pichazzzz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…